1 Peter 1:15-16

15 aBali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote. 16 bKwa maana imeandikwa: “Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.”

Copyright information for SwhKC